emblem
OFISI YA RAIS - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
WAKALA YA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI

TARURA

MAJUKUMU YA TARURA


MAJUKUMU YA WAKALA

Jukumu kubwa la TARURA ni kusimamia matengenezo, ukarabati na ujenzi wa Mtandao wa Barabara za Wilaya wenye jumla ya Kilomita 144,429.77 zilizokuwa zikisimamiwa na Mamlaka za Serikali za Mitaa 184 na kuratibiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI chini ya Idara ya Miundombinu.